Tangazo la Ajira - Asili Spring Water

ASILI SPRING WATER

Karibu Kujiunga na Familia Yetu!

TANGAZO LA AJIRA

Kampuni ya Asili Spring Water inawakaribisha vijana wenye bidii na ari ya kazi kujiunga nasi kwenye nafasi zifuatazo:

  • Production Assistant / Kazi za Kiwandani: Kuzalisha chupa, kuweka lebo, na kazi nyingine viwandani.
  • Field Marketers: Kuendesha uhamasishaji wa bidhaa sokoni.

Vigezo vya Muombaji:

  • Awe na elimu ya angalau kidato cha nne (waliopitia VETA watapewa kipaumbele).
  • Awe mwepesi kujifunza na kujituma.
  • Awe tayari kufanya kazi kwa zamu (usiku na mchana).
  • Awe na ujuzi mzuri wa mawasiliano na kazi ya timu.
  • Umri kati ya miaka 20 – 28.

Muda wa Kuomba: Kuanzia 25 hadi 29 Juni 2025

Jinsi ya Kutuma Maombi:

Tuma barua yako ya maombi kupitia:

📧 asilispringwater.application@gmail.com
📱 WhatsApp: 0629 543 376

Au fika moja kwa moja ofisini:
Asili Spring Water, S.L.P 273, Mbinga (Kupitia Ofisi ya Uhusiano)

Comments

Popular posts from this blog

Latest Posts